Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hali ya mvua maeneo mbalimbali Dar

Daraja La Malecella Hali ya mvua maeneo mbalimbali Dar

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha Jijini Dar wa Salaam, baadhi ya maeneo yameathirika na mvua hiyo.

Kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha Jijini Dar wa Salaam, baadhi ya maeneo yameathirika na mvua hiyo. Daraja la Malecela lililopo Mbezi chini kwa Zena limekuwa na hali mbaya na kusababisha vyombo vya usafiri kushindwa kupita katika daraja hilo kutokana na maji kujaa darajani hapo hadi kupita juu ya daraja lenyewe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live