Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Shinyanga Mboni Mhita amesema kwa miradi ya maendeleo inayotekeleza katika wilaya hiyo kwa miaka michache ijayo itakua haluna sababu ya wafanyabishara na wanachi kwenda Dar ws Salaam kwa ajili ya mahitaji yoyote ya kibiashara.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Shinyanga Mboni Mhita amesema kwa miradi ya maendeleo inayotekeleza katika wilaya hiyo kwa miaka michache ijayo itakua haluna sababu ya wafanyabishara na wanachi kwenda Dar ws Salaam kwa ajili ya mahitaji yoyote ya kibiashara. Akizungumza katika kongamano la biashara na uwekezaji lililoandaliwa na Wasafi Media wilayani Kahama, @mboni_mhita amesema mradi ya Reli ya Kisasa (SGR), mradi wa ujenzi wa bandari kavu na ujenzi wa viwanda na uwepo eneo maalum la kiuchumi vitafanya biashara zote muhimu ziwe zinafanyika ndani ya Kahama