Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ghorofa laanguka Moshi, laua watu watano

Ghorofa Laanguka Moshi, Laua Watu Watano Ghorofa laanguka Moshi, laua watu watano

Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ghorofa lililokuwa linajengwa eneo la Marangu Sembeti Wilayani Moshi limeanguka asubuhi ya leo Disemba 19, 2022.

Kikosi cha uokoaji kimefika eneo la ajali kwa ajili ya kuwaokoa watu wanaosadikiwa kufunikwa na jengo hilo huku watu watano wakipoteza maisha.

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda amethibitisha vifo hivyo na kueleza kuwa watu wengine kadhaa waliokuwa katika eneo hilo wameokolewa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live