Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gari la magereza lapata ajali, wafungwa na askari wajeruhiwa

Ajali Kiy Gari la magereza lapata ajali, wafungwa na askari wajeruhiwa

Wed, 9 Nov 2022 Chanzo: Nipashe

Wafungwa kadhaa wakiwemo askari magereza wawili wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea jana Novemba 8, 2022 katika eneo la Kaloleni wilayani Kiteto mkoani Manyara.



Mkuu wa Wilaya ya Kiteto,Mbaraka Batenga amethibitisha tukio hilo na kusema kuwa, chanzo cha ajali bado hakijajulikana.



Amesema, gari hilo lilikuwa linatoka kambini kwenda katika shughuli za kila siku za kawaida.

Chanzo: Nipashe