Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gambo mgeni rasmi Baraza la EID Arusha

Gambo 2 Gambo mgeni rasmi Baraza la EID Arusha

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid litakalofanyika Jumapili Aprili 23, 2023 katika Ukumbi wa CCM Mkoa.

Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid litakalofanyika Jumapili Aprili 23, 2023 katika Ukumbi wa CCM Mkoa. Hayo yamesemwa na Sheikh wa Wilaya ya Arusha, Hussein Said Ijunje akiwaalika Waislamu wa jiji hilo kuhudhuria baraza hilo siku ya Eid pili

Chanzo: www.tanzaniaweb.live