Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Familia yateswa na gonjwa la ajabu la ngozi (+Video)

Ngozi Familia yateswa na gonjwa la ajabu la ngozi

Tue, 11 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watoto watatu wa familia moja ambao wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi na kujikuna tangu wazaliwe wenyeji wa Kijiji cha Ikengwa wilayani Kondoa mkoani Dodoma, hatimaye wameanza kupatiwa matibabu ya maradhi ya ngozi baada ya msamaria mwema mmoja kujitolea kuwapeleka katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC

Tazama Video hapa Chini,

View this post on Instagram

A post shared by Azam TV (@azamtvtz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live