Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Escudo yaiparamia Bajaji

Ajali Ms7 WA0009 Escudo yaiparamia Bajaji

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Gari aina ya suzuki Escudo imegongana Bajaji katika eneo la CCM kata ya Ilomba Jijini Mbeya majira ya saa mbili asubuhi Aprili, 27/ 2024.

Kwa mujibu wa shuhuda wanasema dereva wa Escudo alikuwa anaingia barabara kuu gari limemshinda kukata kona akaiparamia na kuigonga bajaji ambayo ilikuwa na dereva iliyokuwa ikielekea mjini.

"Huyu wa gari ametoka huku kituo cha Polisi Ilomba sasa wakati anaingia barabara kuu gari limemshinda kukata kona akaiparamia bajaji cha kushukuru Mungu wote wametoa salama wa bajaji hata wa gari maana hawakuwemo abaria kwenye vyombo vyote viwili," amesema shuhuda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live