Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Duwasa hakuna maji yaliyopungua Dodoma

2573e59699ac744597cc638304c6c824 Duwasa hakuna maji yaliyopungua Dodoma

Sat, 19 Dec 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

Mjiolojia Mkuu kutoka Mamlaka ya Maji Dodoma (DUWASA), Emmanuel Nahozya amesema kuwa utafiti uliofanywa na mamlaka hiyo kwakushirikiana na wadau mbalimbali umeabaini hakuna dalili yoyote ya kupungua kwa maji yaliyopo chini ya ardhi katika jiji hilo.

Nahozya ambaye anatokea katika Idara ya Rasilimali za Maji DUWASA amesema hayo mkoani humo alipokuwa anawasilisha Tathimini ya Utunzaji wa Rasilimali za Maji katika jiji hilo.

“Kulingana na wingi na ongezeko la watu katika jiji hili tumetafuata vyanzo vingine vya maji ambavyo vitatumika na hivi vilivyopo ili kuongeza uzalishaji maji katika jiji hili ili kuendana na kasi ya matumizi ya maji, amesema Nahozya.

Chanzo: habarileo.co.tz