Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma sio sehemu ya Madada poa

Rose RC DOM Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule

Wed, 17 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametoa ujumbe wa onyo kwa wanawake wanaofanya biashara ya kujiuza ambao wameanza kuhamia katika jiji la Dodoma kwa kasi kutokana na jiji hilo kuzidi kuchangamka na watu wengi kuhamia huko.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametoa ujumbe wa onyo kwa wanawake wanaofanya biashara ya kujiuza ambao wameanza kuhamia katika jiji la Dodoma kwa kasi kutokana na jiji hilo kuzidi kuchangamka na watu wengi kuhamia huko. RC Senyamule amesema Dodoma siyo mahala pa madada poa na kwamba serikali haitavumilia wanaojihusisha na biashara hiyo kwani ni kinyume cha sheria na inaleta taswira mbaya kwa jiji hilo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live