Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diwani apinga shule iliyoathiriwa na mafuriko kufunguliwa

Shule Kunduchiiii Kufungwa Diwani apinga shule iliyoathiriwa na mafuriko kufunguliwa

Tue, 23 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Diwani wa Kata ya Kunduchi jijini Dar es Salaam, Michael Urio (CCM) amesema hawezi kukubali shule iliyokumbwa na mafuriko ifunguliwe kabla mazingira yake hayajawa mazuri.

Shule hiyo inayofahamika kwa jina la Michael Urio inayofundisha michepuo ya kiingereza imepata athari hiyo baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku mbili mfululizo (Januari 20 na 21, 2024).

Amesema kufunguliwa kwa shule hiyo wakati hali ya mafuriko bado ipo kunaweza kusababisha wanafunzi kupata magonjwa ya milipuko.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live