Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Daraja la Juu Magomeni kuanza kazi Machi, 2023

Capture (600 X 342) Daraja la Juu Magomeni kuanza kazi Machi, 2023

Fri, 3 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Daraja la Juu eneo la Magomeni mapipa lenye urefu wa Mita 236 limepangwa kuzinduliwa mwezi Machi mwaka huu.

Daraja la Juu eneo la Magomeni mapipa lenye urefu wa Mita 236 limepangwa kuzinduliwa mwezi Machi mwaka huu. Mratibu wa mradi wa DMP Halmashauri ya Kindononi Mkelewe Tungaraza amesema kuwa hadi Machi mradi huo ambao unagharimu kiasi cha Sh bilioni 3.2 utakuwa umekamilika

Chanzo: www.tanzaniaweb.live