Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DSM na Pwani kuanza mgao mkubwa wa maji leo

Dawasa.jpeg DSM na Pwani kuanza mgao mkubwa wa maji leo

Mon, 8 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakazi wa jiji la Dar es salaam na Pwani na maeneo yanayohudumiwa na mamlaka ya maji DAWASA kuanzia leo wataanza kukumbwa na adha ya mgao wa maji baada ya kushuka kwa ujazo wa maji kwenye mabwaya.

Wakazi wa jiji la Dar es salaam na Pwani na maeneo yanayohudumiwa na mamlaka ya maji DAWASA kuanzia leo wataanza kukumbwa na adha ya mgao wa maji baada ya kushuka kwa ujazo wa maji kwenye mabwaya. Taarifa ya Mamlaka hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi wa DAWASA Eng. Cyprian Luhemeja imesema kubwa utekelezaji wa mgao huo unaanza rasmi ili kuweka kutoa huduma sawa kwa wananchi wanaotumia maji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live