Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DC Nikki: Chezeni ngoma watoto wakifaulu

Nickson Simon DC Nikki: Chezeni ngoma watoto wakifaulu

Mon, 21 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Nickson Simon 'Nikki wa Pili' amewataka wakazi wa wilaya yake kuacha kucheza ngoma tu watoto wao wanapokuwa wali, bali wafanye hivyo pindi wanapofaulu mitihani.

"Kila nikienda vijijini kwa Wazaramo huku Kisarawe nawaambia sikatai wao kucheza Ngoma ila wacheze ngoma pale Mtoto anapofaulu. Sio anapokuwa 'Mwali'

"Hata mwaka jana tulifanya, tuliwacheza Ngoma watoto 10 ambao walifanya vizuri sana kwenye masomo yao," alisema Nikki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live