Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DC Lushoto aanza kazi,akabidhi mizani ya kupima akina mama wajawazito

WhatsApp Image 2021 06 29 At 21.29.49 660x400.jpeg DC Lushoto aanza kazi,akabidhi mizani ya kupima akina mama wajawazito

Thu, 1 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Wilaya ya Lushoto ndugu Kalisti Lazaro leo  ametembelea Kituo cha Afya Mlalo katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga na kumkabidhi Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Dr Mary G Haule Mizani ya Kupimia akina mama Wajawazito na Watoto iliyotolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Improving Tanzania Foundation (ITF) ndugu Henrish Madambo

Pia Mkuu wa Wilaya ya Lushoto alikagua Stoo ya Madawa katika Kituo cha Afya cha Mlalo ili Kujiridhisha na upatikanaji wa Madawa katika kituo hicho cha Afya

MABASI 15 YAFUNGIWA SINGIDA ANGALIA RPC ALIVYOKUTA ABIRIA WAMEKAA CHINI

Chanzo: millardayo.com