Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DC Longido afunga mafunzo ya awali jeshi la akiba

DC Longido Afunga Mafunzo Ya Awali Jeshi La Akiba DC Longido afunga mafunzo ya awali jeshi la akiba

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa wilaya ya Longido Mhe Marco H. Ng'umbi tarehe 26/11/2023 alifunga mafunzo ya awali ya jeshi la akiba katika kata ya Mundarara wilayani longido, Katika sherehe hiyo ya kufunga mafunzo Mkuu wa wilaya amewapongeza vijana wote waliomaliza kwa kuwa na uvumilivu na nidhamu katika kipindi chote cha mafunzo.

Mkuu wa wilaya ya Longido Mhe Marco H. Ng'umbi tarehe 26/11/2023 alifunga mafunzo ya awali ya jeshi la akiba katika kata ya Mundarara wilayani longido, Katika sherehe hiyo ya kufunga mafunzo Mkuu wa wilaya amewapongeza vijana wote waliomaliza kwa kuwa na uvumilivu na nidhamu katika kipindi chote cha mafunzo. Katika hotuba yake amewaasa vijana hao kuendelea Kuiheshimu, kuilinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kutii Serikali na Rais wake ambaye ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama Dkt @Samia_Suluhu_Hassan, na pia kutojiingiza kwenye makundi mabaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live