Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DC Jokate aibuka hospital ya Temeke, ambananisha Mkurugenzi

Screenshot 2021 07 06 At 14.08.36 660x400.png DC Jokate aibuka hospital ya Temeke, ambananisha Mkurugenzi

Tue, 6 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate mwegelo Julai amefanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Temeke ili kufuatilia tatizo la umeme ambalo linatajwa kama changamoto katika hospitali hiyo.

‘Safari yetu kufika hapa imekuja kwasababu si njema sana kwa taarifa tuliyoipata usiku wa kuamkia Jumapili watoto watano wachanga walifariki kutokana na umeme kukatika’-DC Jokate Mwegelo

‘Sasa tunataka kujua Uzembe umefanyika wapi ndio maana tumefika hapa kupata taarifa kamili katika hospitali hii ya Temeke‘- DC Jokate Mwegelo

Chanzo: millardayo.com