Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DC Jokate: Tunagawa basikeli 200 kwa watoto wa kike

Jokate: Ukijfanya Mzoefu Kazini Unaharibu DC Jokate

Mon, 24 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo amesema kuwa siku ya leo watatoa Baiskeli zipatazo 200 kwa watoto wa kike wanaosoma shule ya sekondari ya Halmashauri ya Korogwe Vijijini mkoani Tanga.

Serikali inaunga mkono jitihada hizo ili kuweza kumuwekea mazingira rafiki pia mtoto wa kike apate nafasi bora ya kupata elimu kama ilivyo kwa upande wa watoto wa kiume amabao wengi wao wamepata hio nafasi tangu huko awali kwa kupewa kipaumbele zaidi katika suala hilo.

“Leo tunagawa basikeli 200 kwa watoto wa kike wanaosoma shule za sekondari Wilaya ya Halmashauri ya Korogwe Vijijini,” amesema DC Jokate.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live