Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chifu afunguka mapya "Wanawake wazae watoto wengi, wasio na kazi mshahara kila Jumamosi"

Screen Shot 2020 07 23 At 2.28.04 AM 660x400.png Chifu afunguka mapya "Wanawake wazae watoto wengi, wasio na kazi mshahara kila Jumamosi"

Thu, 23 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

AyoTV na millardayo.com imefanya mahojiano na Chifu Athuman Omari Mwariko ambaye alitia nia kugombea katika Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi na katika kura za maoni hakuweza kupata kura za kutosha.

Chifu Mwariko anasema akitokea kuwa Mbunge ataunda Wizara ya Utamaduni ambayo itadili na mambo mbalimbali ya kuwasaidia wananchi ikiwemo kuwapa mshahara kila siku ya Jumamosi wasi na ajaira.

“Wizara ya Utamaduni lazima iwaweke wachawi na warogaji sehemu moja tufanye Research, inaweza ikatokea vita Petrol tukakosa lakini watu wanaweza kuruka na vyombo vingine kwenda DSM au London kwa dakika” Chifu Mwariko 

Chanzo: millardayo.com