Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chalamila ataka Wi-Fi za bure vituo vya daladala

Chalamila: Changamkieni Fursa Mkutano Wakuu Wa Nchi Afrika Chalamila ataka Wi-Fi za bure vituo vya daladala

Thu, 10 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Hivi kwa mfano Dar es Salaam mkatufungia internet ya bure 'free Wi-Fi' kwenye vituo vya daladala, masoko makubwa, hospitalini na kwenye vyuo vikuu, kama litawezekana tutashangilia sana na maana halisi ya tukio hili itatafsiriwa vizuri na Wananchi wangu. Mimi nimejiunga na 4G juzi kati sasa huku 5G ni mbali sana tupo vizuri."Albert Chalamila, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam

"Hivi kwa mfano Dar es Salaam mkatufungia internet ya bure 'free Wi-Fi' kwenye vituo vya daladala, masoko makubwa, hospitalini na kwenye vyuo vikuu, kama litawezekana tutashangilia sana na maana halisi ya tukio hili itatafsiriwa vizuri na Wananchi wangu. Mimi nimejiunga na 4G juzi kati sasa huku 5G ni mbali sana tupo vizuri."Albert Chalamila, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Chalamila amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa Mkongo wa Baharini wa Airtel-2Africa na huduma ya Intaneti ya 5G, uzinduzi unaofanyika mkoani Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live