Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chalamila ageuka mbogo uhalifu Dar

Chalamila: Viongozi Wa Dini Muiombee Serikali Chalamila ageuka mbogo uhalifu Dar

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka askari polisi kutomchekea mtu yeyote anayekusudia kuvuruga amani ya nchi na mkoa, lakini akiwatahadharisha kuwa waangalifu katika mapambano hayo.

Chalamila amesema hayo leo Alhamisi, Desemba 14, 2023 jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa baraza la askari ambalo hufanyika kila mwezi, likilenga kufanya tathimini ya kilichofanyika , kushauri namna ya kuzuia uhalifu na kufanya maamuzi ya haraka ya kuzuia vitendo viovu.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live