Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chalamila: Wezi wa transfoma wakidakwa wanywesheni mafuta

Chalamila: Viongozi Wa Dini Muiombee Serikali Chalamila: Wezi wa transfoma wakidakwa wanywesheni mafuta

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wanaoiba transfoma za umeme wakikamatwa wanyweshwe kwanza mafuta yake kabla hawajapelekwa mahakamani.

RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo alipokagua kituo cha kupozea umeme Mbagala Charambe kinachohudumia wananchi wa Wilaya ya Temeke, Mkuranga na Kigamboni.

View this post on Instagram

A post shared by HABARILEO (@habarileo_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live