Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Casino ya Dallas ndani ya Mwanza Hotel yateketea

Dallas Casino Casino ya Dallas ndani ya Mwanza Hotel yateketea

Wed, 31 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bad News: Mwanza Hotel ya jijini Mwanza inateketea kwa moto usiku huu wa leo Agosti 31, 2022.

Taarifa za awali zimeeleza kuwa moto huo umezuka majira ya saa 1:00 jioni, ambapo umeunguza upande wa Casino ya Dallas iliyopo ndani ya hoteli hiyo na kwamba mpaka sasa juhudi za kuzama moto huo zinaendelea.

Taarifa zaidi zitafuata...

Chanzo: www.tanzaniaweb.live