Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bweni la wasichana Tamabu lateketea moto

Bweni Pic Moto Bweni la wasichana Tamabu lateketea moto

Tue, 14 Feb 2023 Chanzo: Mwananchi

Bweni la wasiacha shule ya Sekondari Tamabu iliyoko wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza limeungua moto na kusababisha wanafunzi wa Kike 120 waliokuwa wanakaa ndani ya bweni hilo kuhamishiwa kulala madarasani.

Ajali hiyo ya moto imetokea leo Jumanne, Februari 14, 2023 huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana

Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga amethibitisha kutoka kwa tukio hilo na hakuna mwanafunzi yeyote aliyeathirika na moto huo kikiwa bado kinachunguzwa.

Mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo, Estar Amos amesema kuungua kwa bweni hilo kumewaathiri kwa kukosa mahala pa kulala.

Endelea kutufuatilia Tanzaniaweb kwa taarifa zaidi kuhusiana na tukio hilo.

Chanzo: Mwananchi