Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bweni la Sekondati ya Umwani lateketea kwa moto

Wanafunzi Bweni 0003 Bweni la Sekondati ya Umwani lateketea kwa moto

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bweni lililokuwa linatumiwa na wanafunzi zaidi ya 240 katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Umwani iliyopo Manispaa ya Bukoba, limeteketea kwa moto usiku huu.

Kwa mujibu wa Jeshi la Zimamoto hakuna mwanafunzi aliyedhurika na moto huo ulioanza majira ya saa 2:00 usiku. Uchunguzi kuhusu chanzo cha moto unaendelea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live