Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking News: Ofisi za Kituo cha Tanesco Moro Zateketea - Video

Moto?fit=700%2C394&ssl=1 Breaking News: Ofisi za Kituo cha Tanesco Moro Zateketea - Video

Mon, 2 Aug 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Breaking News: Ofisi za Kituo cha Tanesco Moro Zateketea – Video August 2, 2021 by Global Publishers



Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme katika wilaya za mkoa wa Morogoro na mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Kilimanjaro zimeteketea kwa moto Msamvu, Morogoro muda huu.

Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)



Share this:TweetWhatsApp Related
Chanzo: globalpublishers.co.tz