Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Ndege ya Precision Air yaanguka Bukoba

Ndege Bukoba Precision Breaking: Ndege ya Precision Air yaanguka Bukoba

Sun, 6 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Habari zilizoifikia hivi punde asubuhi hii ya Jumapili Novemba 6, 2022 ni juu ya kuanguka kwa Ndege ya Shirika la Precision Air mjini Bukoba Mkoa wa Kagera.

Ndege hiyo inaonekana ikielea kwenye maji katika Ziwa Victoria ambapo watu wanaokolewa hivi sasa.

Global TV ipo eneo la tukio ambapo imeshuhudia ndege hiyo ikielea kwenye maji huku watu wakiokolewa.

Endelea kuwa nasi kupata mwendelezo wa habari hii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live