Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Bar maarufu ya La Chaaz yawaka moto DSM

As9821 660x400 Breaking: Bar maarufu ya La Chaaz yawaka moto DSM

Sat, 6 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka Sinza Dar es Salaam ni kwamba Bar maarufu La Chaaz inawaka moto ila bado chanzo hakijafahamika cha moto huo endelea kukaa karibu na Ayo TV & Millardayo.com tutaendelea kukujuza ila kwasasa unaweza ukatazama hii video hapa ujionee BAR hiyo ikiwaka moto.

Chanzo: millardayo.com