Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bomoa bomoa vibanda vya wamachinga Vingunguti

Bomoaboa Bomoa bomoa vibanda vya wamachinga Vingunguti

Thu, 23 Sep 2021 Chanzo: Mwananchi

Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiwa amebeba maboksi kufuatia kubomolewa kwa vibanda vya wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam.Kazi ya kubomoa vibanda imefanyika usiku wa kuamkia leo.

Jana Septemba 22, 2021 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametumia ziara yake ya jimbo kwa jimbo mkoani humo kutoa elimu kwa wamachinga waofanya biashara zao katika maeneo yasiyo rasmi na kuhamia maeneo yaliyo rasmi.

Makalla amefanya hivyo ikiwa imepita siku tano tangu mkoa huo uzindue mwongozo wa kuwapanga wafanyabiashara hao.

Chanzo: Mwananchi