Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Binti apewa mimba na kaka yake (+Video)

Mimba Mashuleniiii Binti apewa mimba na kaka yake

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Binti mwenye umri wa miaka (15) ambaye alikuwa ni Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya Msingi Uchunga, Halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga (Jina linahifadhiwa) amekatisha masomo baada ya kupewa ujauzito na kaka yake aliyefahamika kwa jina la Paul Christopher ambaye ametokomea kusikojulikana.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio, ambapo kwa sasa wanaendelea kumtafuta Mtuhumiwa ili aweze kufikishwa Mahakamani na chanzo cha tukio hilo ni tamaa za kimwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live