Sekta ya Madini nchini Tanzania imezidi kuibua Mabilionea ambapo Jijini Arusha Gabriel Sendeu Laizer amekuwa Bilionea Baada ya Kuchimba na Kupata tani 5 za Madini ya Rubi yenye thamani ya bilioni moja nukta saba katika machimbo yaliyopo Mundarara wilayani Longido Mkoani Arusha.Sendeu anakuwa bilionea anayeingia kwenye rekodi Tanzania katika kipindi cha mwaka mmoja akitanguliwa na Saniniu Laizer ambaye alipata madini ya Tanzanite yenye thamani tofauti tofauti
Sekta ya Madini nchini Tanzania imezidi kuibua Mabilionea ambapo Jijini Arusha Gabriel Sendeu Laizer amekuwa Bilionea Baada ya Kuchimba na Kupata tani 5 za Madini ya Rubi yenye thamani ya bilioni moja nukta saba katika machimbo yaliyopo Mundarara wilayani Longido Mkoani Arusha.Sendeu anakuwa bilionea anayeingia kwenye rekodi Tanzania katika kipindi cha mwaka mmoja akitanguliwa na Saniniu Laizer ambaye alipata madini ya Tanzanite yenye thamani tofauti tofauti BILIONEA LAIZER ALIVYOUZA JIWE LINGINE LENYE THAMANI YA BILLION 4.8 MIRERANI