Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bibi ambaye Rais aliagiza asaidiwe atishiwa kuuawa,ajilinda kwa uzio wa umeme

Bibi 660x400 Bibi ambaye Rais aliagiza asaidiwe atishiwa kuuawa,ajilinda kwa uzio wa umeme

Sat, 19 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Bibi mwenye miaka 94 mkazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Martha Kuzilwa,amemuomba Rais Magufuli kuingilia kati tena suala lake la ardhi aliloagiza lifanyiwe kazi kutokana nakutishiwa kuuawa hadi kupelekea kuweka fensi ya umeme kuzunguka nyumba yake kwa ajili ya kujilinda

Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Zephania Chaula amekiri kulifahamu suala hilo na ameshapokea malalamiko ya bibi huyo kutishiwa nakumuagiza mkuu wa polisi wa wilaya OCD ambapo amesema anatalifuatilia tena suala hilo

Suala lakutishiwa mtu huwa hatuliachi hivihivi nilimuagiza OCD aone namna bora yakumsaidia huyu mama kuwapata wanaomtishia “DC Chaula

DC AKATAA HOJA ZA MBUNGE GAMBO KIKAONI “NCHI INAONGOZWA KWA SHERIA,POLISI ITACHUKUA HATUA”

Chanzo: millardayo.com