Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Basi latumbukia mtoni Hifadhi ya Katavi

Bus Ajali Mtoni Katavi Basi latumbukia mtoni Hifadhi ya Katavi

Mon, 15 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Abiria 45 waliokuwa wakisafiri na basi la Msigwa Express kutoka Mpanda, Katavi kuelekea Chunya mkoani Mbeya, lenye namba za usajili T 441 DHZ, wamenusurika kifo, baada ya basi hilo kuserereka na kutumbukia Mto Katuma, uliopo eneo la Sitalike katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi.

Abiria 45 waliokuwa wakisafiri na basi la Msigwa Express kutoka Mpanda, Katavi kuelekea Chunya mkoani Mbeya, lenye namba za usajili T 441 DHZ, wamenusurika kifo, baada ya basi hilo kuserereka na kutumbukia Mto Katuma, uliopo eneo la Sitalike katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi. Juhudi za kumtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi kuzungumzia suala hilo zinaendelea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live