Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Basi lagonga na kuua Ng'ombe 35

Basi Laua 35 Basi lagonga na kuua Ng'ombe 35

Tue, 25 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Basi la Zakaria linalofanya safari zake kutokea Arusha kupitia Orkesmeti wilayani Simanjiro mkoani Manyara kuelekea wilaya ya Kiteto, limegonga na kuua ng'ombe 35 papo hapo huku wengine 4 wakinusurika katika eneo la Orkesmet wilayani Simanjiro mkoani Manyara.

Basi la Zakaria linalofanya safari zake kutokea Arusha kupitia Orkesmeti wilayani Simanjiro mkoani Manyara kuelekea wilaya ya Kiteto, limegonga na kuua ng'ombe 35 papo hapo huku wengine 4 wakinusurika katika eneo la Orkesmet wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Ajali hiyo imetokea jana Aprili 24, 2023, na Ng’ombe hao walikuwa wakitoka Kiteto kuelekea Simanjiro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live