Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Basi la Machame Laua 6 kwa Ajali, 19 Wajeruhiwa

Ajali 1?fit=483%2C324&ssl=1 Basi la Machame Laua 6 kwa Ajali, 19 Wajeruhiwa

Tue, 30 Mar 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Basi la Machame Laua 6 kwa Ajali, 19 Wajeruhiwa March 30, 2021 by Global Publishers



Watu 6 wamefariki dunia huku wengine 19 wakijeruhiwa baada ya basi la Machame Investment walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Arusha kuacha barabara na kisha kugonga gema na kupinduka.

Kamanda wa Polisi Babati mkoani Manyara Paul Kasabago amethibitisha kutokea kwa tukio.

Chanzo: globalpublishers.co.tz