Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Basi la Jambo lateketea kwa moto Shinyanga

JAMBO AJALI Basi la Jambo lateketea kwa moto Shinyanga

Fri, 12 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Basi la Kampuni ya Jambo Food Products lenye namba za Usajli T.841 DHY linalotumika kubeba wafanyakazi wa kampuni hiyo limeteketea kwa moto mapema asubuhi ya leo Ijumaa, Agosti 12, 2022 katika eneo la Bugweto Mjini Shinyanga.

Basi la Kampuni ya Jambo Food Products lenye namba za Usajli T.841 DHY linalotumika kubeba wafanyakazi wa kampuni hiyo limeteketea kwa moto mapema asubuhi ya leo Ijumaa, Agosti 12, 2022 katika eneo la Bugweto Mjini Shinyanga. Aidha, bado haijafahamika iwapo kuna majeruhi ama vifo vilivyotokea kutokana na ajali hiyo ambayo imetokea wakati basi hilo likitoka kupeleka wafanyakazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live