Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Basi la Happy Nation lapata ajali Igunga

Ajali Arusha Express.jpeg Basi la Happy Nation lapata ajali Igunga

Tue, 4 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Basi la Kampuni ya Happy Nation lenye namba za usajili T657 EBK lililokuwa likisafiri kutoka Mwanza kuelekea jijini Dar es Salaam limepinduka wilayani Igunga mkoani Tabora likiwa na abiria kadhaa.

Basi la Kampuni ya Happy Nation lenye namba za usajili T657 EBK lililokuwa likisafiri kutoka Mwanza kuelekea jijini Dar es Salaam limepinduka wilayani Igunga mkoani Tabora likiwa na abiria kadhaa. Habari kutoka mkoani Tabora zinaeleza kuwa watu wote waliokuwa ndani ya basi hilo wametoka wakiwa salama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live