Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baraza la Madiwani lapitisha Bajeti ya Bilioni 67

Baraza La Madiwani Baraza la Madiwani lapitisha Bajeti ya Bilioni 67

Thu, 19 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe limepitisha mpango wa bajeti ya Sh67.6 bilioni kwa mwaka wa fedha 2023/2024

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe limepitisha mpango wa bajeti ya Sh67.6 bilioni kwa mwaka wa fedha 2023/2024 Akiwasilisha bajeti hiyo leo Januari 19, 2023 katika kikao cha Baraza hilo, Afisa mipango halmashauri ya wilaya ya Mbozi, Pantaleo Mkangara, kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Abdallah Nandonde, amesema bajeti hiyo inaongezeko la asilimia 3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2022/2023 ya Sh65.5 bilioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live