Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bangi Hekari 20 yafyekwa Tarime

Shamba La Bangi Bangi Hekari 20 yafyekwa Tarime

Sat, 23 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zaidi ya Hekari 20 za dawa za kulevya aina ya Bangi zimefyekwa katika Kijiji cha Kewamamba kata ya Kiore wilayani Tarime mkoani Mara

Zoezi hilo limefanywa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama katika operesheni iliyofanyika hii leo ambapo mkuu wa wilaya ya Tarime Kanali Michael Mntenjele anasema kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu.

Hata hivyo Mntenjele amewataka Wananchi kuachana na kilimo Cha Bangi na badala yake walime Mazao yanayokubalika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live