Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Babu wa Loliondo kuzikwa kesho mkoani Arusha

556666 660x400 Babu wa Loliondo kuzikwa kesho mkoani Arusha

Tue, 3 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Simanzi na Majonzi kwa wakazi wa Loliondo baada ya kutokea kwa kifo cha Babu wa Loliondo alifariki Julai 30, 2021.

Sasa leo Agosti 3, 2021 Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mwangwala amesema Mwili wa Mchungaji Ambikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo unatarajiwa kuzikwa Agosti 4, 2021 katika Kijiji cha Samunge huko Ngorongoro mkoani Arusha.

Babu wa Loliondo alifariki kwa maradhi ya kuugua Nimonia kali iliyompa changamoto ya upumuaji na kupelekea umauti.

Chanzo: millardayo.com