Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya agizo la Rais kuhusu Ngorongoro,wananchi watoa tamko

Cover Web 660x400 Baada ya agizo la Rais kuhusu Ngorongoro,wananchi watoa tamko

Sat, 17 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Baada ya agizo alilolitoa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, la viongozi wa serikali pamoja na wananchi kujadili mustakabadhi wa eneo la Ngorongoro imeshindwa kufanyika baada ya waziri wa maliasili na utalii aliyekuwa akutane nao kupata dharura nakurejea mkoani Dodoma huku wananchi waliokuwa wakimsubiri kutoa maoni yao kuhusu suala hilo.

Baada ya agizo alilolitoa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, la viongozi wa serikali pamoja na wananchi kujadili mustakabadhi wa eneo la Ngorongoro imeshindwa kufanyika baada ya waziri wa maliasili na utalii aliyekuwa akutane nao kupata dharura nakurejea mkoani Dodoma huku wananchi waliokuwa wakimsubiri kutoa maoni yao kuhusu suala hilo. Naibu waziri wa ofisi ya waziri mkuu uwekezaji William ole Nasha amesema atapanga siku nyingine ambayo atakuja na waziri huyokwa ajili yakuzungumzia changamoto hizo.

Chanzo: millardayo.com