Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BILIONI 660 zimetolewa na Serikali kuboresha Jiji la Dar es salaam

1934 Mrad1 660x400

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 25, 2018 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo amezungumzia mradi wa maendeleo ya uboreshaji Jiji la Dar es salaam Mradi unaogharimu takribani Tsh Bilion 660.

“Kwa kuimarisha Jiji la DSM, tunakuja na mradi wa DMDP kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu ya DSM, katika jiji hili tunajenga mtandao wa barabara za lami zenye urefu wa kilometre210 na zitajengwa katika Manispaa zote tatu za DSM,”-Waziri Jafo

WAZIRI MWIGULU ASIMAMISHA ZOEZI LA UTOAJI WA HATI ZA KUSAFIRIA (PASSPORT)

Chanzo: millardayo.com