Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aweso agoma kuweka jiwe la msingi

Aweso Ooh Aweso agoma kuweka jiwe la msingi

Sun, 31 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso Amegoma Kuweka Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Ofisi Ndogo ya Bonde la Kati katika Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara Baada ya Kutoridhishwa na Mchoro wa Jengo hilo ikilingamisha na thamani ya fedha iliotengwa Milioni 700 kwaajili ya ujenzi wa jengo hilo.

Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso Amegoma Kuweka Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Ofisi Ndogo ya Bonde la Kati katika Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara Baada ya Kutoridhishwa na Mchoro wa Jengo hilo ikilingamisha na thamani ya fedha iliotengwa Milioni 700 kwaajili ya ujenzi wa jengo hilo. Akizungumza Baada ya Kuwasili katika Eneo inapojengwa Ofisi hiyo Aweso amemtaka Mkandarasi kuboresha Mchoro wa Jengo hilo na kutengeneza mpango mzuri wa ujenzi utakaoendana na thamani ya fedha ndipo atakapokuwa tayari Kuweka Jiwe la Msingi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live