Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Auawa na mwili wake kufukiwa kwenye kinyesi

Mauajiii Msh Auawa na kufukiwa kwenye kinyesi

Tue, 19 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Salome Nko (pichani kulia) ambaye ni Mkazi wa Seele Singisi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha ameuawa na kufukiwa kwenye kinyesi cha ng’ombe na Mtu anayedaiwa kuwa ni Mume wake baada ya kutengana kutokana na kugombana na kila mmoja kuishi sehemu yake.

Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Salome Nko (pichani kulia) ambaye ni Mkazi wa Seele Singisi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha ameuawa na kufukiwa kwenye kinyesi cha ng’ombe na Mtu anayedaiwa kuwa ni Mume wake baada ya kutengana kutokana na kugombana na kila mmoja kuishi sehemu yake. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Emmanuela Kaganda amethibisha kufariki kwa Salome na kusema Watu kadhaa akiwemo Mumewe wanashikiliwa kwa uchunguzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live