Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Atupwa jela miaka 30 kwa kuiba simu

Jela 1.jpeg Atupwa jela miaka 30 kwa kuiba simu

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Lindi imemuhukumu Naimu Ally M’baruku maarufu Soggy mwenye umri wa miaka 20, Mkazi wa Mtaa wa Ndoro Manispaa ya Lindi kwenda Jela kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kunyang’anya simu aina ya TECNO SPARK 8 kwa kutumia silaha (panga).

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Lindi imemuhukumu Naimu Ally M’baruku maarufu Soggy mwenye umri wa miaka 20, Mkazi wa Mtaa wa Ndoro Manispaa ya Lindi kwenda Jela kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kunyang’anya simu aina ya TECNO SPARK 8 kwa kutumia silaha (panga). Katika hatua nyingine Mahakama ya Wilaya ya Kilwa imemuhukumu Kamugisha Filbert Rugemalila (47) na Jamilu Swaibu Kichwabuti ( 25) wote Wakazi wa Dar es salaam kwenda jela kifungo cha miaka mitano kika mmoja kwa kosa la wizi (Vifaa mbalimbali kwa ajili ya kazi ya kuchukulia Video).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live