Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Atenguliwa Kiuno na Mchepuko wa Mke Wake

MCHEPUKOOOO Masanja Gamalu

Mon, 11 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mzee Masanja Gamalu, anayekadiriwa kuwa na miaka 50 ameiomba serikali imsaidie aweze kupata haki yake ya matibabu baada ya kuvamiwa na kupigwa hadi kuvunjika mgongo na kiuno na aliyekuwa hawala wa mke wake ambaye alikimbilia mkoani Shinyanga.

Mzee Masanja Gamalu, anayekadiriwa kuwa na miaka 50 ameiomba serikali imsaidie aweze kupata haki yake ya matibabu baada ya kuvamiwa na kupigwa hadi kuvunjika mgongo na kiuno na aliyekuwa hawala wa mke wake ambaye alikimbilia mkoani Shinyanga. Kero hiyo imetolewa mbele ya mkutano wa hadhara baina ya wananchi na mkuu wa mkoa wa Geita Rosemarry Senyamule, uliofanyika mtaa wa CCM stendi Katoro wenye lengo la kusikiliza kero za wananchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live