Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asimamishwa kazi kwa kusababisha kifo cha mjamzito

Kafulilaa Ed.jpeg Asimamishwa kazi kwa kusababisha kifo cha mjamzito

Wed, 23 Jun 2021 Chanzo: ippmedia.com

Kafulila amesema imeelezwa kuwa Mganga huyo alishindwa kutimiza wajibu wake wa kufika zahanati hapo kumpatia huduma ya kujifungua  mama huyo Christina Jilala na kupelekea mama huyo kupoteza damu nyingi hadi kufariki.

Kafulila amesema imeelezwa kuwa Mganga huyo alishindwa kutimiza wajibu wake wa kufika zahanati hapo kumpatia huduma ya kujifungua  mama huyo Christina Jilala na kupelekea mama huyo kupoteza damu nyingi hadi kufariki. Aidha, ameagiza pia uchunguzi wa haraka ufanyike ili kubaini tuhuma hiyo kama ni ya kweli ili taratibu za kiutumishi zichukuliwe.

Chanzo: ippmedia.com