Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ashindwa kuapa kutokana na sababu za kiafya

Tat Ed Ashindwa kuapa kutokana na sababu za kiafya

Tue, 22 Jun 2021 Chanzo: ippmedia.com

Aliyeshindwa kuapa leo ni Meja Edward Gowele wa Rufiji, ambaye imeelezwa kuwa amelazwa hospitali.

Aliyeshindwa kuapa leo ni Meja Edward Gowele wa Rufiji, ambaye imeelezwa kuwa amelazwa hospitali. Akizungumza wakati akiwaapisha wakuu hao wa Wilaya, Kunenge amesema anamuombea apone haraka na arudi kuendelea na majukumu yake.

Chanzo: ippmedia.com