Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Apigwa Risasi na Polisi kisa ng'ombe (+Video)

Cropped Ak 47 Writing Tips Guns Knives Apigwa Risasi na Polisi kisa ng'ombe

Mon, 10 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia tukio la kijana aliyefahamika kwa jina la Emmanuel John kupigwa risasi na askari wakati wa zoezi la ukamataji mifugo iliyokuwa ikisafirishwa kijijini hapo, Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Mhe. Dinnah Mathamani ameagiza hatua za haraka zichukuliwe kufuatia tukio hilo.

Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Filemon Makungu amesema tayari askari aliyefanya tukio amekamatwa kwa uchunguzi zaidi wakati huu ambao Emmanuel anapatiwa matibabu katika Hospitali ya rufaa Maweni mkoani Kigoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live