Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anayedaiwa kuwa kinara wa mauaji ya kukodiwa auawa

Mauaji Nn.jpeg Kinara wa mauaji ya kukodiwa auawa

Sun, 10 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkazi wa Kijiji cha Kapanga wilayani Tanganyika, Heleni Nyankole maarufu Beberu (36), anayedaiwa kuwa kinara wa kufanya mauaji ya kukodiwa, ameuawa kwa kupigwa risasi.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2022, Kamanda Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Ally Makame (Pichani) amesema mtuhumiwa huyo aliuawa usiku wa kuamkia leo wakati wa akipambano na polisi.

Kamanda Makame amesema kuwa mtuhumiwa huyo anadaiwa kukodiwa kufanya mauaji ndani ya Mkoa wa Katavi na nje ya mkoa huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live