Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amuua mkewe kisha naye kujiua, aacha ujumbe "Mtuzike pamoja"

Mauajiiiiii Mauaji Tabora

Fri, 17 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja wilayani URAMBO Mkoani Tabora amemuua mke wake kwa kumchoma visu na kisha kujiua kwa kunywa sumu na kuacha ujumbe wa barua kwa familia ya mke wake. "Nilimuoa siku moja na tutakufa siku moja, mtuzike pamoja."

Mwanaume mmoja wilayani URAMBO Mkoani Tabora amemuua mke wake kwa kumchoma visu na kisha kujiua kwa kunywa sumu na kuacha ujumbe wa barua kwa familia ya mke wake. "Nilimuoa siku moja na tutakufa siku moja, mtuzike pamoja." Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mwenyekiti wa kitongoji cha Maswanya Songa Juma amemtaja mwanamke aliyeuwawa kuwa ni Mariam Nassoro ambaye ameuwawa na mume wake aliyefahamika kwa jina la Issah Seleman.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live